shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Moth kwa kiswahili anaitwa nondo
Sijajua kama ni cha TUKI au magumashi
Tukutane kesho
Usiku Mwema
........

Moth kwa kiswahili anaitwa nondo
Sijajua kama ni cha TUKI au magumashi
Tukutane kesho
Usiku Mwema
........

Vp tena shemelaSikuelewiiiiiii
Hahahha shemela bana hamna kituVp tena shemela
Asante mama mchungaji kwa ufunuo wa uchawiSawa ni msimamo mzuri sana kwa imani tunayashinda yote ila uchawi upo
KUTOKA 7
8.BWANA akanena na Musa na Haruna ,akawaambia.
9.Farao atakaponena nanyi,na kuwaambia ,Jifanyieni miujiza ndipo utakapomwambia Haruni ,Shika fimbo yako ,uibwage chini mbele ya Farao,ili iwe nyoka .
10.Basi Musa na Haruni wakaingia kwa Farao wakafanya hivyo kama BWANA Alivyowaambia ;Haruni akaobwaga fimbo yake chini mbele ya Farao ,mbele ya watumishi wake ikawa nyoka.
11.Ndipo Farao naye akawaita wenye akili na wachawi na hao waganga wa Misri wakafanya vivyo kwa uganga wao.
12.Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake nazo zikawa nyoka lakini fimbo ya Haruni ikameza fimbo zao.
13.Moyo wa Farao ukawa mgumu asiwasikilize kama BWANA alivyonena.
H ESABU 23
23.Hakika hapana uchawi juu ya Yakobo wala hapana uganga juu ya Israel.
HESABU 24
1....hakwenda ..ili kutafuta uchawi....
1 SAMWEL 15
23.Kuasi ni kama dhambi ya uchawi......
2 WAFALME 17
17.Wakawapitisha watoto wao ,waume na wake ,motoni ,Wakapiga ramli wakafanya uchawi...wakajiuza nafsi zao wapate kufanya yaliyo maovu machoni pa BWANA ,hata kumkasirisha
Y apo maandiko mengi yanayothibitisha uchawi upo,tunapaswa kumshika sana Mungu na kumuomba Mungu kutuepusha na mambo haya.
Shalom![]()
Kimbelembele tu kujifanya ujuaji hata kwa yasiyokuhusu. Mwanaume mzima na mambo ya siku wapi na wapi? Umenunua kesi hiyo sasa hangaika nayo. Fala!Ha hahahahhaha! Umekula lakini? Maana leo unahasira na siwezi kukujaji yaweza kuwa ni njaa au uko kwenye siku zako
Hapana chezea![]()
![]()
hapana chezea mpendwa wangu
Mijitu yenye kiherehere hii kujifanya inajua kila kitu inaudhi sana. Aaargh!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
shemejiii
AiseeHaya ishaingia tiari
1 SAMWEL 25
6.Na hivi ndivyo mtakavyomwambia huyu aishie salama,Amani iwe kwako,na amani nyumbani mwako,na Amani kwao wote ulio nao
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu BWANA MUNGU wa Majeshi asante kutufikisha umbali huu,umetulinda mchana kutwa umetuepusha na hatari mbalimbali na ajali mbalimbali ,BABA tunaomba tusamehe yote tuliyotenda kwa mawazo,maneno na matendo kwa kukusudia au kutokusudia..tunawasamehe wote waliotukosea ili tuweze fanya toba ya kweli maana BABA tunakiri udhaifu sisi ni watu tu kuna wakati tunaghafilika..nyoosha mkono wako BABA uturehemu twakusihi BABA mwema ili tuende vitandani tukiwa salama na amani toka kwako.Asante kwa kuwa unatusamehe kila iitwapo leo.
BABA tunakualika usiku wa leo tuma malaika wako walinzi watuzingire,watulinde,tuzingire na ukuta wa moto wa damu ya Yesu,utukumbatie kama kuku anavyokumbatia vifaranga vyake.
Usiku waleo endelea kutuponya mioyo iliyopondeka,magonjwa,dhiki,taabu na kukata tamaa..tusaidie tuzidishe upendo kwa wale tunaodhani ni maadui wetu ili tuweze kuuona ukuu na utukufu wako
Asante Baba maana utatupa kushinda,utatuamsha salama na tutakutana tena kesho mahali hapa tukiwa tumeachilia mambo yote ya leo kesho iwe siku mpya na ya kukupendeza
Tunaomba yote katika jina la Yesu Mpatanishi na mwokozi wetu Amen Asante
MUNGU ANATUPENDA SANA,NAMI NAWAPENDA SANASANA MBARIKIWE USIKU MWEMA MAKAPUKU WOTE![]()
![]()
![]()

Shemela pande zipiiiiiAisee
Hamna mtu aliyekataa shemela![]()
me ni wa mkoani shemela
Nimekuelewa shemelaHahahha shemela bana hamna kitu
Nipo mbali sana na darShemela pande zipiiiii
Kweli shemela, sipo kibaha
JEREMIA 33
BABA Asante kutuamsha salama,asante kwa zawadi hii nzuri kabisa ya uhai asante kwa kuitika kila tunapokuita,unatujua vyema na wala hujawahi kutuacha...tunakuona MUNGU wetu daima unatuitikia.

Asantee mama kwa barakaJEREMIA 33
BWANA MUNGU ASEMA
3.Niite nami nitakuitikia,nami nitakuonesha mambo makubwa ,magumu usiyoyajua
BABA Asante kutuamsha salama,asante kwa zawadi hii nzuri kabisa ya uhai asante kwa kuitika kila tunapokuita,unatujua vyema na wala hujawahi kutuacha...tunakuona MUNGU wetu daima unatuitikia.
Tunaomba toba tunapoanza siku ya leo tuanze tukiwa tumeyaacha yote ya nyuma na kuanza upya maana ni siku mpya kabisa uliyoifanya BWANA.
Tunaomba utujalie afya njema,amani,mshikamano,msamaha,uvumilivu,upendo na yote yanayofanana na hayo.
Ponya wagonjwa,watie moyo waliopondeka mioyo,wafungulie wafungwa na wape faraja yatima na wajane.
Bariki kazi za mikono yetu na utufundishe kufanya kazi kwa bidii.
Tuopoe katika hatari zote za mwili na za roho,tuwe salama.
Asante BABA kwa kutuitikia
Tunaomba kwa
jina la Yesu Amen
MUWE NA SIKU NJEMA MBARIKIWE![]()
![]()
![]()