Makapuku Forum

Alikuwa Rais wa Chama cha SPLM, kwa kwetu huku ni mwenyekiti wa Chama

Mtoto wa Garang anavituko sana
 
1972 - Zinedine Zidane anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Juventus, Real Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa.

Ni kocha wa sasa Real Madrid.

Ameshinda mataji yote katika soka. Ni mmoja wa wachezaji bora wa kizazi chake.
Kwenye fainali ya UCL dhidi ya Bayer Leverkusen alipiga bonge la bao baada ya kupigwa krosi kutoka upande wa kushoto (R.Carlos ?) mpira ilikuwa ni wa juu kidogo bila kutuliza akaachia chuma na kuwa moja kati ya goli bora la muda wote
Real akabeba ndoo Mwaka 1998 pale Paris fainali ya WC akawapiga Brazil goli mbili za kichwa kisha Emmanuel Petit akamalizia kazi .
Brazil akafa 3:0 . Majogoo ya blue yakabeba ndoo huku Ronaldo De Lima akisemekana aliugua degedege na kufulia
.......
 
Yeye na Roy Keane walikuwa hawapatani kila siku ugomvi katikati ya dimba
Baada ya kusepa wajaja viungo laini akina Denilson na Andersson
Siku hizi mpira umekuwa mchezo wa wavulana
......
 
HBD PatrickVieira
 
Mara nyingi wenye akili nyingi, kwa upande mwingi hufanya vitu vya kipuuzi sana
 
Mwaka mmoja Sasa umepita, waingereza wanajuta kujitoa
Hawakutegemea. Nina shemeji yangu amechukua uraia wa huko alikuwa shabiki sana wa Brexit sasa anajuta balaa. Makampuni makubwa yameanza kuhamisha makao makuu yao kutoka London kwenda Frankfurt. Na huyu mama Theresa May nadhani ni Ms. Dhaifu. Na haijulikani kitakachotokea...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…