Makapuku Forum

Ameni yarabi
 
..asiingilie masuala ya shule na taratibu zake, mbona huwa tuna vipindi vya mapumziko, kwenda kulima shamba la shule. Unawekwa utaatibu muda wa kunyonyesha vipindi vinakuwa na break.
JK Alikuwa smart kimuonekano na iongeaji
Sizonje yupo hpvyo kimuonekana na uongeaji/kauli zake zimejaa mipasho,kejeli & masimango
Huwezi kusikia kahutubia ukakosa kusikia hayo
Ana ushamba fulani na pia kiburi cha madaraka hafimirii wananchi wanajisikiaje sanasana atachochea utoaji mimba,wasichana kufa wakati wakitoa mimba,kujua n.k.....kibinadamu kujizuia kusex sio simple aisee na ubora wa elimu hauletwi na watu kuwa mabikra
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…