Makapuku Forum

Makapuku Forum

Lazima niwe mpole maana mjomba wangu huyu tuna mengi tunafanana sema mengine kama hilo ni lake kiprivate(kibinafsi). Kwa hili lazima aseme swali lake alikuwa anamaanisha nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo wewe halikuhusu kabisa sijamuelewa kabisa baba d
 
mimi apa baba d kweli
e5210fdc69557f032c75d79a5e5f6baf.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
 
[emoji524] AYUBU 11

17.Na maisha yako yatakuwa meupe,kuliko adhuhuri;Lijapokuwa ni giza litakuwa kama alfajiri.

18.Nawe utakuwa salama kwasababu kuna matumaini.Naam utatafuta-tafuta kando yako ,na kupumzika katika salama

19.Tena utalala ,wala hapana atakayekutia hofu;Naam wengi watakutafuta uso wako.

[emoji523] MALAIKA WALINZI WAWEKE VITUO MAJUMBANI MWENU NA WAZUNGUKE VITANDA VYENU DAMU YA YESU IWAFUNIKE USIKU MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
 
Back
Top Bottom