BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Kiroho safi au Kiroho chafushemela umeanzaaa naipenda toka moyoniii
[emoji120] na kwako pia Mama ubarikiwe sana[emoji524] WARUMI 8
31.Basi ,tuseme nini juu ya hayo?MUNGU akiwa upande wetu,ni nani aliye juu yetu.
[emoji523] Asante BABA kutufukisha jioni hii salama,hakika tunakuona MUNGU katika kila jambo asante kwa amaani ,upendo,furaha,umoja na mshikamano mahali hapa ,hakuna kama wewe mfalme wa amani asante kututia nguvu,kutupa tumaini kilabtulipotaka kushindwa siku ya leo,ulitupa kushinda,ulitushika mkono hukutuacha...upo upande wetu daima tunakuona katika kila hatua ya maisha yetu..asante BABA kwa ushindi huu tutakupenda na kukushukuru daima maana hakuna kama wewe.
Baba jioni ya leo endelea kutuangalia hata tuimalize siku salama tukifundishana na kupeana mambo sawa na utukufu wako,asante maana utatupa kushinda..endelea kutuponya,endelea kutatua changamoto mbalimbali tunakutegemea wewe tu.
Tunaomba na kushukuru Amen
JIONI NJEMA WAPENDWA[emoji7] [emoji7]
Naipenda man u yangu kirohoo safi jamaanKiroho safi au Kiroho chafu
HazipoKwani kuna group za whatsapp za jamii foriums ??
Pole kwa mnaopigwapigwa banSaa ngapi kampa makavu yule mke mwema wa jf sababu espy alikuwa analike tu post zetu akawa anacheka na ushimen mimi kurudi kwenye post imewekwa kufuli na comments zote zimefutwa na we ndio kuniambia espy kapewa ban ujue nisingejua
Labda umuimbie wimbo au ununue kwa Obe music ndio ataamini unachomwambiaWewe Man u
hazipo na wakati zipo nyingiHazipo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda umuimbie wimbo au ununue kwa Obe music ndio ataamini unachomwambia
Mimi nipo ya siasa mbona iko vizuri tu na watu hawajuani kabisa id zao za jfZipo huko nyingii tu watu walikuwa wanaongea waliokuwepo huko yanayofanyika na kutongozana na kuuzana na kusema watu wasiokuwepo
Asante mama mchungaji kwa neno la jioni,ubarikiwe sana[emoji524] WARUMI 8
31.Basi ,tuseme nini juu ya hayo?MUNGU akiwa upande wetu,ni nani aliye juu yetu.
[emoji523] Asante BABA kutufukisha jioni hii salama,hakika tunakuona MUNGU katika kila jambo asante kwa amaani ,upendo,furaha,umoja na mshikamano mahali hapa ,hakuna kama wewe mfalme wa amani asante kututia nguvu,kutupa tumaini kilabtulipotaka kushindwa siku ya leo,ulitupa kushinda,ulitushika mkono hukutuacha...upo upande wetu daima tunakuona katika kila hatua ya maisha yetu..asante BABA kwa ushindi huu tutakupenda na kukushukuru daima maana hakuna kama wewe.
Baba jioni ya leo endelea kutuangalia hata tuimalize siku salama tukifundishana na kupeana mambo sawa na utukufu wako,asante maana utatupa kushinda..endelea kutuponya,endelea kutatua changamoto mbalimbali tunakutegemea wewe tu.
Tunaomba na kushukuru Amen
JIONI NJEMA WAPENDWA[emoji7] [emoji7]
hizo mbili zilizosemwa sio za siasa ni za chit chatMimi nipo ya siasa mbona iko vizuri tu na watu hawajuani kabisa id zao za jf
Nilishawahi kupigwa mara moja, tangu hapo nikaacha kabisa kubishana na watuPole kwa mnaopigwapigwa ban
Sijawahi kupigwa ban
Huwa najiepusha na migogoro
Hata mtu anitukane huwa namuignore
Nitapungukiwa nini?
......
hahaha! ban yako ilikuwa ya muda gani mkuuNilishawahi kupigwa mara moja, tangu hapo nikaacha kabisa kubishana na watu
Haupungukiwi kitu mkuu na hiyo ndio busara sasAPole kwa mnaopigwapigwa ban
Sijawahi kupigwa ban
Huwa najiepusha na migogoro
Hata mtu anitukane huwa namuignore
Nitapungukiwa nini?
......
Mbona wote wanaliwamkuu Bitozi kwenye iyo list yako kuna hata samaki moja anaetumika kama kitoeo hapo
mimi mwenyewe nishapigwa mbili sasa hivi hata nitukanwe hapo kama sio mimi na like naenda kumpaNilishawahi kupigwa mara moja, tangu hapo nikaacha kabisa kubishana na watu
Mpendwa wangu hauzi muzikiLabda umuimbie wimbo au ununue kwa Obe music ndio ataamini unachomwambia
Missing youSoulmate..
Ukisimama nchaleKama vile yamechongwa acha Mungu aitwe Mungu...ndugu zangu wa Nchale naona wanachonga kwa mtindo huu[emoji2] [emoji2] [emoji2]