AiseeAlitamba na akina Prettyboy Floyd & Babyface Nelson waliisumbua Marekani vilivyo enzi hizo
Bwana mkubwa wa FBI Edgar J Hoover kwa kutumia weledi akafanikiwa kuwanyamazisha kimyakimyaBaadhi ya muvi
......
Mtoto wa Wenger, habari za chugaYaaaap sijambo kabisaaa
1947 - Jerry Rawlings anazaliwa.
Alipata kuwa Luteni na Rais wa Ghana.
31 years on!Siku hizi kuna Video Assistant Refaree hakuna magoli ya ujaujanja
Ila binadamu hatuna jema tunalalamika pia ila timu zetu zikionewa km bao la Amissi Tambwe dhidi ya Simba tunatokwa mapovu
......
Sawa shemela nakuaminiUmesikia shemela
Mashahidi tupo aisee
Haya ila usiite tenaNimefurahi kuita hivyo kwa mara ya kwanza
Usiniite sasaWala, nimefurahi tu kukuita hivyo
HBD John Dillinger1903 - John Dillinger anazaliwa.
Alikuwa ni Jambazi sugu aliyesumbua nchini Marekani katika miaka ya 1930's kipindi cha Mdororo wa Uchumi.
Alikuwa na genge lake kubwa la kihalifu lililokuwa linavunja benki na kuiba.
Alikuja kuuliwa na FBI mara baada ya kutafutwa sana.
HBD Jerry Rawlings1947 - Jerry Rawlings anazaliwa.
Alipata kuwa Luteni na Rais wa Ghana.
Hongera Sweden ,bendera nzuri na maana waziBendera yao ina msalaba wanjano/dhahabu ukiwakilisha Christianity
Rangi ya blue imewekwa kwa sababu [bNgao yao ya Taifa[/b] ilikuwa na rangi hiyo
Hili ni Taifa lililojaa Wakristo
......
Asante kwa tangazoTangazo
RIP Pat Nixon1993 - Pat Nixon anafariki Dunia.
Alikuwa ni Mke wa Rais wa Marekani, Richard Nixon.
Salama karibu sanaSwalama humu???
Chuga kwema kabisaaMtoto wa Wenger, habari za chuga
Hatari,hakuna pa kuponeaPesa inatafutwa kila kona.
Ndio uzuri wa kuheshimu katiba2012 - Rais wa Paraguay, Fernando Lugo anaondolewa madarakani na Bunge la Nchi hiyo .
Federico Franco anachukua wadhifa huo punde tu.
Hongera Field Marshall Erwin Rommel1942 - Jenerali Erwin Rommel wa Jeshi la Nazi anapandishwa cheo na kuwa Field Marshall mara baada ya kuuteka mji wa Tobruk huko Libya.
HatariNa hamna taarifa yoyote