Makapuku Forum

Makapuku Forum

785b629e770350e46b0410d729f3917a.jpg
 
7. Gianfranco Zola ( Chelsea #25 )

Ingawa klabu ya Chelsea haikuwahi kutangaza wala kuthibitisha rasmi, lakini inaonekana kama ni dhahiri shairi, jezi ya Zola namba 25 imestaafishwa.
Ni miaka 14 sasa toka Zola aondoke Chelsea lakini mpaka sasa hakuna mchezaji mwingine aliyewahi kuvaa namba 25 klabuni hapo. Zola ni shujaa Chelsea kabla ya zama za Tajiri Abramovich.
John Terry alichagua kuvaa namba 26 ili kukaa karibu na mkongwe huyo kwenye bus la timu pamoja na dressing room.

article-0-15FC7F9B000005DC-379_634x463.jpg
 
6. Johan Cruyff ( Ajax #14 )

Huyu ni mchezaji bora wa muda wote wa Uholanzi na Klabu ya Ajax. Mwaka 2008, Ajax walitangaza kutoitumia tena jezi hiyo kwa heshima ya Mkongwe wao hivyo ilimfanya Thomas Vermalen kuwa mchezaji wa mwisho kuivaa jezi hiyo kabla ya kustaafishwa.
Huyu ndio muasisi wa chuo cha soka cha Barcelona maarufu kama La Masia
johan-cruijff-nr-14-paul-meijering.jpg
 
TOP TEN
Kwa Tanzania juzijuzi kuna babu katangazwa kuwa ana miaka 120 ila tatizo hakuna vielelezo ndo tatizo la Watanzania na Afrika kwa ujumla kutotunza kumbukumbu mfano hata aliyebuni nembo ya Taifa eti hajulikani ni aibu.......Najua vijijini kuna vikongwe kibao vimejaa tele ila havina vyeti vya kuzaliwa

Sasa leo nakuletea watu kumi ambao wanajulikana kutokana na Mungu kuwajalia kula chumvi nyingi a.k.a vikongwe/wazee
Yaani wazee 10 wa muda wote
Kuzeeka ni baraka....kuishi kwingi ni kuona mengi
Karibuni
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom