Makapuku Forum

10/Margaret Ann Neve Bibi huyu Alizaliwa mnamo mwaka 1792
Alikuwa ndiye mwanamke mzee zaidi duniani hadi kipindi alipofariki
Umri wake ulithibitika pia kitaalamu kwa kutumia Medical technology
Huyu bibi alijaaliwa kuishi karne tatu yaani karne ya 18,19 na 20 na ndiye binadamu pekee aliyekuwa na kumbukumbu safi kabisa za mambo yaliyojiri karne ya 18,19 & 20
Alifariki 1903 akiwa na umri wa miaka 110 na siku 321
Nimemweka kutokana na sababu za hapo juu(kuishi karne 3)
.......
 
II bivin codino .... (Divine ponytail) utakumbukwa
 
3. Dani Jarque ( Espanyol #21 )

Beki wa zamani wa Espanyol alifariki mwaka 2009 kwa ugonjwa wa moyo, hiyo ni baada ya mwezi mmoja tu kukabidhiwa unahodha wa timu hiyo.Kutokana na mchango wake klabuni, jezi yake namba 21 ilistaafishwa kama kumbukumbu kwa vizazi vijao.

Haishangazi, Andres Iniesta alipofunga goli la ushindi mwaka 2010 katika Fainali ya Kombe la Dunia, alivua jezi ilyoandikwa " Dani Jarque Siempre Con Nosotros " ikiwa na maana " Dani Jarque always with us "




 
I see,pumzika kwa amani bibi.Tumuombe Mungu atupe maisha marefuu,afya njema na amani...Mungu anaweza yote
 
RIP DANI Jarque...nimependa huyu mfungaji alivyomuweka rohoni,nadhani alikua role model wake na kuamini ushindi kila akimkumbuka
 
2. Diego Armando Maradona ( Napoli #10 )

Mmoja kati ya wachezaji bora wa wakati wote kuwahi kutokea katika uso wa dunia. Miaka yake 7 ndani ya Jiji la Naples ilitosha kabisa kumpa sifa zote kama mmoja wa mashujaa katika klabu hiyo. Altokea Barca na kuiikuta Napoli kama timu ya kawaida na kuwapa ubingwa wa Ligi kuu ya Italy (Serie A) mara Mbili na pekee, Uefa Cup, Coppa Italia na Italian super cup.
Na kuifanya Napoli itambe Ulaya upya, na katika kipindi hiko Maradona ndipo alipoanza kutumia dawa za kulevya.

Jezi namba 10 ya Napoli iliistafishwa kwa heshima yake, huku wakijaribu kubadili jina la uwanja wa Stadio San Paolo kwenda kuwa Stadio Diego Maradona ikishindikana kutokana na sheria za Italy.

 
9/Emma Morano
Alizaliwa 1899 nchini Italia
Ndiye anayeshikilia rekodi kwenye Guinness Book ya mtu Mzee zaidi duniani aliye hai
Huyu bibi pia ndiye binadamu pekee aliyepo hai ambaye kazaliwa karne ya 19
Km unataka simulizi za zamani mfano kuhusu vita kuu ya kwanza ya dunia na mambo kibao ya zamani mtafute
Ana umri wa miaka 117 na bado yupo yupo sana
........
 
*** Extra Time ***

- Kuna dalili zote Klabu ya As Roma itastaafisha jezi namba 10 iliyovaliwa na mkongwe Fransisco Totti

- Klabu ya Soka ya Simba nayo imestaafisha jezi namba 30 iliyokuwa inavaliwa na Kiungo Marehemu Mutesa Mafisango.

Tumalizie na namba 1
 
8/Misao Okawa Ni bibi wa Kijapan aliyezaliwa mwaka 1898
Ndiye aliyekuwa akishikilia rekodi ya mtu Mzee zaidi duniani hadi pale Mwenyezi alipomtwaa
Huko Japan kuna wazee zaidi ya 50,000 wenye umri zaidi ya miaka 100 .....Wajapan siyo wa mchezo mchezo hawaendi makaburini mapema
Sisi huku serikali ya Mh. Sizonje inasimanga wazee eti wanamaliza dawa
Alifariki dunia 2015 akiwa na miaka 117
........
 
Mzee mwenye mpira wake mpaka sasa .....japo wengi wanampinga kwa kumlinganisha na vijana wa kileo ...japo wanadai alaikuwa anafunga za mchanganiii lakin zama zile mpaka anastaafu
yanamfaa
Tunaompinga Pele tunasababu za kutosha, ikiwemo ya kutocheza ulaya kwenye upinzani zaidi matokeo yake alijikita zaidi Amerika.

Pia kwenye mafanikio ya timu ya taifa, alibebwa sana na watu wengine. Kwakifupi alizungukwa na vipaji maridhawa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…