Labda anakutisha wewe tumnyamaa flan hiviii mwekundu amaizing halaf mtamu flani huku anatisha
hahaha anaowatisha wanajijuaLabda anakutisha wewe tu
Poa tu kakaMko poa wakuu
Naona kimya sana..
Naona mpo bize sana nikija nakosa wa kubonga nae..Poa tu kaka
We unachungulia unasepa hukai hata dakika
Yaaan weweeeeeCha makinia na wahamiaji haramu
In mpendwa voice
![]()
![]()
tukunyeemaa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Bob uko poaMko poa wakuu
Naona kimya sana..
Twende kaziii mkuuSoka Segment
Kuna wanasoka wamewahi kutoa mchango mkubwa kwenye vilabu vyao walivyocheza na hata kwenye timu zao za Taifa.
Kwa kutambua hilo, timu zao ziliamua kustaafisha jezi zao ili kuwaenzi kutokana na michango yao mikubwa katika vilabu hivyo.
Pia kuna baadhi ya timu hazijawahi kuthibitisha tetesi za kustaafisha baadhi ya namba ambazo ziliopata kuvaliwa na wakongwe wao.
Mfano, Jezi namba 8 ya Liverpool iliyokuwa inavaliwa na Steven Gerrard haijatumika tena toka alipoondoka mwaka 2015 au Jezi namba 15 ya Man Utd iliyokuwa inavaliwa na Nemanja Vidic haijavaliwa tena toka nahodha huyo alipoondoka mwaka 2015
Hivyo leo tutaangalia baadhi ya namba zilizostaafishwa kwenye timu mbalimbali.
Mzee mwenye mpira wake mpaka sasa .....japo wengi wanampinga kwa kumlinganisha na vijana wa kileo ...japo wanadai alaikuwa anafunga za mchanganiii lakin zama zile mpaka anastaafu10. New York Cosmos ( Jezi namba 10 ) Pele
Klabu hii ya Marekani imestaafisha rasmi jezi namba 10 kwa heshima ya Mwanasoka bora wa wakati wote, Edson Arantes Dos Nascimento " Pele "
![]()
![]()
yanamfaaMmmmmh!Naona mpo bize sana nikija nakosa wa kubonga nae..
Ulimo wa mugole..Mmmmmh!
Mdau na mimi nashusha mavitu mapema maana ratiba yangu itanibana baadaye hivyo hakuna tatizo segment zikiingiliana ilimradi tu zinaelewekaSoka Segment
Kuna wanasoka wamewahi kutoa mchango mkubwa kwenye vilabu vyao walivyocheza na hata kwenye timu zao za Taifa.
Kwa kutambua hilo, timu zao ziliamua kustaafisha jezi zao ili kuwaenzi kutokana na michango yao mikubwa katika vilabu hivyo.
Pia kuna baadhi ya timu hazijawahi kuthibitisha tetesi za kustaafisha baadhi ya namba ambazo ziliopata kuvaliwa na wakongwe wao.
Mfano, Jezi namba 8 ya Liverpool iliyokuwa inavaliwa na Steven Gerrard haijatumika tena toka alipoondoka mwaka 2015 au Jezi namba 15 ya Man Utd iliyokuwa inavaliwa na Nemanja Vidic haijavaliwa tena toka nahodha huyo alipoondoka mwaka 2015
Hivyo leo tutaangalia baadhi ya namba zilizostaafishwa kwenye timu mbalimbali.
Ndimo ye mugaboUlimo wa mugole..