lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Mie sijambo, habari ya mihangaiko!Powaa shem! Hujambo weye?
Nzuri shem!Mie sijambo, habari ya mihangaiko!
Hee... Warembo?Mkuu sema tuu vitu vyote vipo...
-warembo Wapo
- bia zipo mkuu....
Sema tuu....
Karibu sana shem.Nzuri shem!
Hapana mkuu uwe na amani kabisa.....Wala hakuna haja yakusoma btn the line...Af manuu hayo maneno matatu ya mwanzo sio fumbo kweli???....anyway....
Bariiidii.... hahaa...
Tena shughuli hasa babuu weee....Kwa shughuli![]()
![]()
![]()
Sawa mkuu.Tena shughuli hasa babuu weee....
Kwa shemeji yangu A*
Kwa nani umezima taa?
Kama?Vyote vimenivutia.
Anajifariji.Ha Haaaa kweli we mkariiii....
Alafu huyu EMMYGUY anabishaasss
Pamoja sana Mkuu.Sawa mkuu.
Kabisa mkuu naongeza list iwe ndefu kidogo maana hao uliowataja hapo wengi wao ni wanywa soda sasa wallet haita feel upungufu...Usisahau kumshtua na shemeji yako amaizing kidogo yuke anauweza mchakamchaka akiwa na lizziebettie ..