Makapuku Forum

Makapuku Forum

5fabc153fb38b882b1c92c677374ef36.jpg
Hapa ni chini ni Kati ya barabara na nyumba, hao walilala barabarani na kupigwa picha
 
Ni kweli kabisa Blessed, japo kuna watoto wanaoharibika kutokana na mazingira wanayokulia pamoja na wale wanaowazunguka, lakini wengi wao huwa ni matokeo ya wazazi wao kushindwa kuwafunza yapi maadili mema na yapi ni maadili yasiyofaa.

Unakuta wazazi wengine hata hawawapeleki watoto wao makanisani au misikitini kulingana na imani zao, wala kufuatilia maendeleo yao kiimani, ambako mtoto atafundishwa mambo mbalimbali pamoja na kumfanya mtoto kuwa na hofu ya Mungu.

Kwahiyo linapokuja swala la mtoto kufanya maamuzi ya lipi ajifunze na lipi aachane nalo wakati wa makuzi yake, imani aliyonayo (ambayo ilipaswa kujengwa na wazazi wake) ndiyo itakayomuwezesha kufanya uchaguzi wa yanayompasa na yasiyompasa kufanya.

Wazazi ndio chanzo kikubwa cha mtoto kuharibika au kufanikiwa kimaadili, kuondoa wale watoto wachache ambao labda hawana wazazi au vinginevyo.
Labda neema ya Mungu tu imfunike mtoto husika.
Kwakweli tuwaombee sana na kuwajengea misingi mizuri tangu wakiwa wadogo, hii itawasaidia sana.

Inasikitisha sana kwakweli.
Hakika
 
Asante sana kunielewesha,Mungu atusaidie sana
 
Muziki: Kuhama Mtaa

Ninyi ni watu wema sana, huwa nakuwa na wakati mzuri sana nikiwa hapa na hili si uongo wala makidai, Ndo ukweli na ukweli siku zote hata ukifukiwa futi sita chini utaibuka tu, huwa ni suala la muda tu na wala si kitu kingine. Hongera kwetu tunaojitahidi angalau kusema kweli japo mara chache kuliko nyingi za uongo. Sisi ni binadamu.

Nimefurahia segment ya Makapuku TV, hii itakuwa ni bomb, hoping itapangwa muda mzuri ili zisiingiliane na nyingine.

Jana nilipotea, yeah, ni vizuri nikashare nanyi maana tangu mwenye nyumba aanze kunisalimia kila siku (salamu maana yake anakumbushia nilipe kodi ya nyumba, ni haki yake lakini si kwa salamu zinazozidi kipimo). Nimeamua kuhama, naamu nahama maana kwanza nimesikia tetesi anaongeza kodi ya nyumba. Ni nyumba yake afanye analotaka na kodi ni yangu naamua navyotaka.

Mnakumbuka mwezi jana ulikuwa wa neema kwangu, kwanza nilinunua saa mpya, solar automatic. Then, baadaye yaani after that nikapewa simu ya tachi na funga kazi sasa nimeingiza flat scrini ndani na hapo sasa ndo maneno yalipoanza na vituko. Dirisha la chumbani limechwana mtindo wa sambusa, walitaka kupora simu wakaondoka na chaja, kama kuna member yeyote anakodisha chaja aweke tangazo, au vipi aniazime bila kuweka sharti la kurudishiwa. Mkopaji jeuri.

Nisikuchoshe bhana maana najikuta naongea sana. Kuna mtu aliniambia naongea sana kwa sababu nilichelewa kutembea, sio kosa lake maana ndo aliyenizaa.

Muziki na kuhama leo, nimekupigisha sound mvua hapo juu lakini lengo langu nataka tu umsikize Shaggy, yeah Mr Lavalava. Enzi hizo miziki ya kutengenezwa studio ndo inawika sanaa na japo huu wimbo ni wa studio lakini nimewahi kuwaona jamaa hapa mjini wanaucheza live gitaa nyingi na vinanda, utapenda.

Hadi hapo wakati mwingine Makapuku ni sehemu nzuri kwa sababu tu wewe u sehemu yake

Tahadhari: Muziki huu raha yake uwe na simu zile za kichina zenye spika nane na subufa, wenye Samsung, LG, Iphone na nyingine za makabila ya original inabidi muwe wataulivu sisi wenye Samsing, Itel6, Yutong4 tufaudu

Kweli.
 
Asante sana Obe ubarikiwe,ila simu imenikwamisha sana..anyway nimefurahia baada ya kusibiri sanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom