Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nasubiri hiyo fix kwa hamu
Nahisi ulito ngoza dume lililojifanya demu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Hapana Madenge. Halikuwa dume. Alikuwa ni mwanamke tena mrembo kweli Shunie cha mtoto. Nadhani ni Mungu Alitaka kunifundisha kitu. Nikisahau kisa hiki nikumbushe nikiweke hapa. Maisha ni mapito rafiki yangu!
 
Back
Top Bottom