shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Yupo, mzima kabisaSalama ankali, auntie yangu nae sijamuona..... Hivi yupo? Hajambo?
Yupo, mzima kabisaSalama ankali, auntie yangu nae sijamuona..... Hivi yupo? Hajambo?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kila siku nasema hizi fitna nazopigwa lazima kuna mkono wa mtu tu, hii si kawaida jameni
Nipe link basiha hahahahaaaa, hebu ukipata nafasi isome news ya huko Marikani ambayo jamaa kajiua kwa sababu mpenzi wake alikuwa akimuandikia texts akimsihi ajiue wawe kama Romeo and Juliet
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Thitakiiii
Sema na kutoswa nielewe mapema [emoji3][emoji3]Na maisha kiujumla
Powaa[emoji121]Good
Haina noma mfugaji / mchungajiWadau leo 10 haikiwepo sababu nilikuwa na dharura
Ikiwezekana nitawafidia Jumamosi au Jumapili
......
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji378]Ndioooo
Wapendwa katika bwanaAsante kwa kushukuru mpendwa
Unajua sana kuchagua maua yanayoufurahisha moyo wangu. Asante mpendwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yeah, umetulia sana huo wimbo, enzi hizo naenda disco na patner wangu kavaa nguo ya kumpa uhuru anapocheza. Sio siku hizi disco si wanaume wala wanawake wamevaa jinsi hata kina Shululu wanaohesabu wanashindwa kuzihesabu
Ww na SHIMBA nafikiri mna undugu wa mbali mkizungumxia mapenzi mbavu zinatuumaKuachwa kuachwa
Kuachwa ni shughuri pevu!
Mbaya zaidi kwa yule unayempenda wewe unakonda(yaani mimi) yeye ananenepa
Kwa mawazoooo mawazoooo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji15]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Wapendwa katika bwana
Poa poa bitozWadau leo 10 haikiwepo sababu nilikuwa na dharura
Ikiwezekana nitawafidia Jumamosi au Jumapili
......