Makapuku Forum

Makapuku Forum

...ukisikia siku inaisha vizuri ndo hivi sasa, yeah pale unapopata mtetezi lakini si kama yule aliyeimbwa na Christina Shusho. Asante mpendwa wangu yaani umeufanya mtima wangu usahau kabisa kama jana nilimiss humu na kuwamiss sana.

Hujambo lakini?

Aaaargh !!!
d14163adc02b4d7dd85640b28c508d61.jpg
 
Aminia shemeji shimba
Kama ndo yule jamaa mpya afadhali tu ushemeji ufe. Nilifikiri kuwa baada ya brother Shedede ungekuwa angalau na kipindi cha ku-cool off kidogo na kuangalia upepo unakwendaje. Kumbe unaunganisha tu ka treni lisilo na breki from one relationship to another. Goodluck mama japo nahisi kama safari hii umelamba gharasha
 
Habar zako mkuu SHIMBA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom