Makapuku Forum

Duuuu
 
2/John William Rogan Alizaliwa mwaka 1868 huko Tennessee nchini Marekani na kufariki 1905
Ndiye mtu mrefu zaidi duniani "aliyerekodiwa" yaani vielelezo vyako vimejaa tele
Kutokana na urefu wake aliandamwa na maradhi kibao na husababisha kifo chake
Alianza kurefuka akiwa na miaka 13
Alikuwa na urefu wa futi 8 na inchi 9
.....
 
1/Robert Wadlow Huyu ndo ngongoti wa muda wote duniani
Alizaliwa 1918 huko Illnois na kufariki dunia mwaka 1940
Urefu wake ulitokana na pituitary gland na hivyo kuzalisha kiasi kikubwa cha homoni na kurefuka maisha yaje yote
Alifariki dunia hospitalini Michigan wakati akifanyiwa upasuaji ambapo urefu wake ulichangia kufeli kwa blood transfusions
Alikuwa na urefu wa futi 8 na inchi 11
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Niwatakie Usiku mwema
Tukutane kesho
Mwisho
.........
 
Pamoja mkuu, usiku mwema!

Jamaa anavimba kichwa kila kukicha, anajibishana na watu kisa ana wafuasi wengi wanaofatilia stori zake JF hivyo wanakuwa wanamtetea.
 
Nawe pia bitoz
 
Shukrani mkuu
 
Teknolojia iko juu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…