Makapuku Forum

8/Vikas Uppal Alizaliwa huko Haryana India na kuishi maisha mfupi maana alifariki mwaka 2007 akiwa na miaka 21 tu
Hakuwahi kupigwa urefu wake na watu wa kitabu cha Guinness ila vyanzo mbalimbali nchini vilikuwa na rekodi zake
Alifariki dunia huku akiwa bado anarefuka hivyo asingefariki mapema pengine angeweka rekodi ya kipekee
Alikuwa na urefu wa Futi 8 na inchi 3
......
 
More pictures for Brahim..

 
7/Bernard Coyne Alizaliwa huko Marekani mwaka 1897
Alikuwa akiumwa ugonjwa uitwao Daddy longlegs syndrome...urefu wake wakati anafariki haukufahamika
Hivyo rekodi zake zimechukuliwa kutoka kwenye World War I Registration Card
Alifariki wakati akiwa kwenye umri wa mwanzpni wa miaka 20's
Alikuwa na urefuwaFuti 8 na inchi 2 japo inaaminika huenda Alikuwa na futi 8 na inchi 4 ila tatizo ni evidence tu
.....
 
6/Sultan Kosen Akiwa na mtu mfupi zaidi duniani
Huyu ni raia wa Uturuki aliyezaliwa mwaka 1982
Ana uvimbe(tumor) ambao unamsababishia arefuke kuliko kawaida
Ndiye mtu mrefu zaidi aliye hao ...Alikuwa na urefu wa kawaida hadi alipofikisha miaka 10
Mwaka 2006 madaktari walijaribu kuuondoa uvimbe ili asiendelee kurefuka lakini ikashindikana
Mwaka 2012 madaktari wa Virginia waligundua uvimbe kichwani umezidi kukua lakini kutokana urefu wake wakashindwa kumfanyia upasuaji na hivyo kupelekwa Sweden ambalo ilitumika teknolojia ya hali ya juu na kufanikiwa na hivyo kuwa nwisho Wa kurefuka kwake
Ana urefu wa futi 8 na inchi 3
.....
 
Daah!hatareee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…