10/
Brahim Takioullah
Ni raia wa Morocco aliyezaliwa mwaka 1982
Huyu jamaa anashikilia rekodi ya dunia kwenye
Guinness Book of World Records ya mtu mwenye miguu mirefu zaidi duniani anayeishi.....pia ndiye mtu wa pili wa muda wote
mwenye miguu mikubwa zaidi kuwahi kutokea duniani(nazungumzia makanyagio) miguu yake ina urefu wa inchi 15 yaani kiatu kinatakiwa kiwe hivyo
Huyu jamaa sababu ya urefu wake ni uvimbe(tumor) ambao umeathiri tezi(gland) na kumfanya awe ngongoti
Ana urefu wa Futi 8 na inchi 1
...........