Makapuku Forum

Siyo tu kutwaa kombe la dunia bali pia alichukua Ballon D'or kwa ngekewa na kuwa beki wa kwanza kuwa mwanasoka bora wa dunia
.......
 
4. Anton & Rio Ferdinand

Ndugu wawili hawa wamekipiga katika ligi kuu ya Uingereza na wote wakiwa ni zao la akademi ya klabu ya West Ham, moja ya akademi bora kando ya Southampton.
Rio ndio amapata mafanikio zaidi kuliko mdogo wake ambae ni tozi flani hivi.

 
CAMEL BUS (CUBA)
Hili basi limetengezwa kwa kuunganisha Lori na basi, baada ya kuanza kufanya kazi baadhi ya magari ya abiria yaliacha kufanya kazi na husafirisha karibu abiria 300
Ahsante Mzee wa vyombo vya moto hii sikuwahi kujua
Najua tu Sauzi kuna mabasi ya Scania yanaburuza na tela la mizigo
.....
 
8. Rafael & Fabio da Silva
Mabeki hawa wa Kibrazil ambao waliwahi kukipiga Man Utd ni mapacha haswa wa kufanana kiasi cha kuwachanganya watu wengi wawapo uwanjani.

Kuna siku kilitokea kituko sijui Fabio alicheza rafu sasa refs akashindwa kuwatofautisha na kibaya zaidi jezi zinaanza na # 2 akampa kadi Rafael

.......
 
3. Eden & Thorgan Hazard

Wabelgiji hawa kwa pamoja hucheza nafasi ya winga au kiungo mshambuliaji, baada ya maisha kuwa magumu ndani ya stamford bridge, Thorgan Hazard alihamia zake Borussia Monchengladbach akimuacha kaka yake akiendelea kutamba Chelsea.
 
8. Rafael & Fabio da Silva
Mabeki hawa wa Kibrazil ambao waliwahi kukipiga Man Utd ni mapacha haswa wa kufanana kiasi cha kuwachanganya watu wengi wawapo uwanjani.

Daah!


Hawa madogo nilikuwa nawakubali sana...

Hasa Fabio kipindi anakipiga Right-back...

Ni mzuri wa kupanda kushambulia na kupiga Cross kama Dani Alves, Gareth Bale, antonio Valecia Maicon na Marcelo

Nahisi kuna ka-utamaduni flani kwa mabeki wa kibrazil kupanda na kupiga cross.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…