Makapuku Forum

Hivi Diego yuko wapi siku hizi?

Manake nakumbuka kichapo Barca walichopata Fainali ambayo mourinho alichukua...
 
14. Frank & Ronald De Boer
Wadachi na mapacha hawa walitamba na Ajax na kuchukua Uefa Champions League mwaka 1995 chini ya kocha Louis van Gaal. Pia walitamba kwenye Timu ya Taifa ya Uholanzi whasa Kombe la Dunia la mwka 1998.

Walikuwa vizuri sana wawapo uwanjani, Ronald katumia muda mwingi wa soka lake akiwa Scotland
 
Phili mpira wake ilikuwa ni fujo sana aisee, alimkimbiza Reyes Uingereza
 
6. Rafinha & Thiago Alcantara

Viungo hawa wawili mmoja akichezea Barcelona na mwingine akitamba na Bayern Munich. Ni zao la soka la akademi ya Barcelona maarufu kama La Masia.

Baba yao ni Mbrazil anaitwa Mazinho alishinda kombe la Dunia mwaka 1994.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…