- Siku ya Kimataifa ya kupambana na Ugonjwa wa Sickle Cell
Huku kwetu Mandela/Waziri Mkuu ni kama mdoli tu kila kitu ni bwana mkubwa/RaisMarais hawana umaarufu kama kansela
Nimekuelewa mdauHukumu hutoka kama kunyongwa lakini mtuhumiwa anaweza akakaa kwenye kiti cha umeme au kudungwa sindano ya sumu.
Ahsante sana kwa kunitia moyo.Kamwe usiyumbishwe kwa maneno ya wafitini wewe songa mbele na kile unachokiamini
Nawe pia mkuuTuwe na siku njema wadau ...Mungu atuongozeee
Nzuri mkuu. KaribuHabari za asubuhi, wapendwa katika makapuku forum
Morn too mambo niaje mazeeMorning shem
Asante musolini kwa historiaLeo katika Historia:
Muwe na siku njema, sina la ziada.
Asante kwa neno mama mchungajiKUTOKA 14
14.Bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kimya
Mungu Baba Mwenyezi asante kwa kutuamsha salama asante kutupa uhai asante kwa yote unayotutendea wewe ni Ebenezer hakuna kama wewe..naomba utupe kibali tupone ,tusafiri,bariki kazi za mikono yetu ...wabariki wote mahali hapa waweze kuona ukuu wako..asante sababu unatupigania..tunanyamaza kimya maana matendo yako ni makuu
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Amen
MUWE NA SIKU NJEMA YENYE BARAKA
Nao wabadili katibaNi kweli! Kansela ana mamlaka makubwa sana kiutendaji.
Amina mama mchungajiKUTOKA 14
14.Bwana atawapigania nanyi mtanyamaza kimya
Mungu Baba Mwenyezi asante kwa kutuamsha salama asante kutupa uhai asante kwa yote unayotutendea wewe ni Ebenezer hakuna kama wewe..naomba utupe kibali tupone ,tusafiri,bariki kazi za mikono yetu ...wabariki wote mahali hapa waweze kuona ukuu wako..asante sababu unatupigania..tunanyamaza kimya maana matendo yako ni makuu
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Amen
MUWE NA SIKU NJEMA YENYE BARAKA
Nawe pia
Asante my swiHbr ya asubuhi hny,shukrani kwa Magazeti
Pia hofu ya Mungu hakunaSo sad RIP ,POLENI NDUGU JAMAA MARAFIKI
Vijana tujitahidi sana kuwa wazi kwa wazazi wetu,kuwa karibu na huduma za kiroho maisha ni magumu lakini je tunajua tunakoenda tukifa?are we ready?Mungu atusaidie
Asante mama mchungajiMungu awabariki wakuu Shululu na Chaplin kwa magazeti