Ngoja noende kuchukua mpunga/mchele kijijini kwetu maana huu ndo mwezi wa mavuno na maduka ya Mangi na Supermarket yamejaa mchele wa plastiki
Tuacheni usasa saratani zitatumaliza.....tupende kutafita chakula wenyewe kwa kulima au kufuata vijijini
Niwatakie asubuhi njema
........