....lakini ata uko kwenye mkesha nilitakiwaa niwe na yule wa mkoa sema bhasi huo mfumanio ulikuwa sijui umepangwa ila mpaka leo naamin kuna mkono wakoo binamu...Ha hahahahah! Usinikumbushe ya Jamila maana ile siku umedanganya unaenda Taifa kwenye mkesha, yaani mchepuko ukamfumania mchepuko. Uliwasuluhisha vizuri sana. Kiukweli unahitajika kuwa kwenye kamati ya miss Tanzania, kama mshauri nasaha
Binamu me nakusalimia tu unaendeleaje lakini
Natest zaliii binamu alafu ningekuleteaaAnko nawe uwe unaridhika sasa. Maua mengine yana nyuki
Mpaka sikuaminiiiOrodha ni ndefu my sweetflower yaani inaanzia kwa aunt yangu, majirani zake namajirani zangu na hata ambao huwa hatusalimiani.
Huwezi amini hata wewe japo ua hukunitumia (ila wewe haujanifitini)
Nimekumbukaa nisameheee bhiinamuNo, si ya kutoka kwa huyu au BH, haya yanakuja direct moja kwa moja kwangu. Sitaki uyatie najisi
Ila binadamu bwanaaaBinamu me nakusalimia tu unaendeleaje lakini
....lakini ata uko kwenye mkesha nilitakiwaa niwe na yule wa mkoa sema bhasi huo mfumanio ulikuwa sijui umepangwa ila mpaka leo naamin kuna mkono wakoo binamu...
Uliloliwaza kweli ni wazo zuri si miss Tanzania wanashiriki warembo wa kike tu ??
Tulia utauelewaa mkuuHuu uzi naupitaga kama siuoni, leo ndo kwanza nimeufungua, hebu nidokeze ukojeukoje
Pole sana Obe, maombi ya mama mchungaji hayoNimeshapona tena vizuri kabisa. Usicheze na maneno ya wafitini waliyonitolea jana. Maneno yao yamekuwa tiba tosha kabisa. Haujambo
Hata hivyo sawa tuSijui naanzaje
Fitina za jana haziwezi kumuacha mtu salamaNashukuru kunisalimia aunt, asante kunijulia hali pia. Nimepona tangu fitina zako zilipompoteza njia BH akashindwa kufika kunijulia hali. Uendelee hivyo hivyo.
Uko salama lakini?
AkAaaa nampaga mpendwa tuNipe ua kama nimepatiaa
Ni mazuri au?Mafiga matatu
Asante kwa maua, nayapenda na nijisikia vizuri kuyapokea na hasa kwa kuwa yanatoka kwako.
Hivi bado uko singoland?
Si kafurahi jamaniUnacheka nn sasa
Nimefurahi tuUnacheka nn sasa
Akikujibu nishitueHV nani alikufitini mpendwa?!
Asante shemeji
Niliiijuuuuuuaaaa binamu ....alafu ukajifanya hujui chochotee ukaniachaa mataa ukasahau wewe ulivoyakoroga kwa chausiku nilivosotaa kukuwekeaa mambo sawa...Leo nikiri kabisa bila lakiri, nilitia zengwe maana japo huwa unakataa ulinisemea maneno ya shombo kwa yule fundi shanga 700