Makapuku Forum

Msamiati wa kujitolea kwa wengi sasa hv ni mgumu kwakuwa wengi hawakujengewa uwezo,maana yake unapoenda unakua tayari kufanya kazi utakazoelekezwa na mwajiri na kufuata taratibu na sheria za mahali hapo bila kupepesa macho ,kufika muda uliopangiwa,kukaa kazini muda uliopangiwa na kufanya kazi ulizopangiwa kuna baadhi ya ofisi nyingine zina sera ya kujitolea angalau zina unafuu..ni muhimu kabla ya kwenda kujitolea kutafakari na kujiandaa na mazingira yoyote utakayoyakuta....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…