Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,041
Jamaa anasema hana mrs!Kwani mrs bitoz huwa hadai haki yake?
Jamaa anasema hana mrs!Kwani mrs bitoz huwa hadai haki yake?
Ohoo amesema yao ya kimya kimya kama simba mwenda poleJamaa anasema hana mrs!
Mapenzi ya dizaini hii mabaya sana,utashangaa tu mkeo ana ujauzito.Ohoo amesema yao ya kimya kimya kama simba mwenda pole
Ohooo hataki warembo wagundue ili aendelee kuwamega taratibu wasishtuke kuwa jamaa ameoaMapenzi ya dizaini hii mabaya sana,utashangaa tu mkeo ana ujauzito.
mbona haonekani.?Jamani humu kuna mgeni anaitwa willy fredy mpeni kiti akae humu
hahaha wakijijini wanapga mswaki bana, usiwaoneeeBishoo asipige mswaki ?
Labda wa kijijini
..............
Ujumbe unafanyiwa kazi na utapata mrejesho mapema iwezekanavyo ngoshaUsinichekeshe bwana. Eti zigo la ukweli na ngozi fulani hivi. Sisi akina ngosha tunalaumiwa sana kuwa eti tunapenda ngozi nyeupe. Mimi sijali rangi wala kabila ali mradi tu mtu tuelewane kimitazamo. Kuhusu ng'ombe hilo halina tatizo. Ninao wa maziwa, wa kawaida na madume ya kulimia huko kijijini. Baba mkwe atakuja achague mwenyewe anachotaka. Baba Paroko basi na aachie mibaraka yake ili iwe!
Alikuwa anarusha likes kibao cjui kaishia wapi!mbona haonekani.?
na mimi nifanyie mipango bwana mkubwaUjumbe unafanyiwa kazi na utapata mrejesho mapema iwezekanavyo ngosha
Hahahaha udishindane na boss wako anayekuweka mujini huyo ni sawa na mangi ukishangaa anachukua hata mkeoWatu wakija kustuka humu,atakuwa amemaliza wote mpaka shemeji yangu A*.
Mswaki wa mtihahaha wakijijini wanapga mswaki bana, usiwaoneee
Jaman hny nlikuquote kwa jina lako tamtam tangu mda mfupi tu, bt umenipotrzeaMkuu upo salama lakini?
ule ndo mzuri bossMswaki wa mti
nawe piaUsiku mwema,wote humyu...
Ajue ndo basi tenaHahahaa.... Jidanganye wewe.
Mkuu umeonaee??
Bado anaendelea kujipa matumaini.
KakimbiaAlikuwa anarusha likes kibao cjui kaishia wapi!
boss niaajeThe boss