EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,510
Nambie mpenzi wangu. Nimekumiss sana.Laaziz [emoji7]
Nambie mpenzi wangu. Nimekumiss sana.Laaziz [emoji7]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpeni moyoo mkuuuHahahaa.... Jidanganye wewe.
Mkuu umeonaee??
Bado anaendelea kujipa matumaini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kweli braza.Kuwajibika muhimu mkuu
Asante kwa kuliona hilo Mkuu.Wakuu makapuku mmetisha kwa ushirikiano, nilichogundua ushirikiano huu umevuka mipaka, sio hapa kwe.ye uzi huu tu bali hata kwenye nyuzi zingine makapuku wakionana IDs zao popote wanapigana likes kwanza ndo wasome posts/comments
Nipo salama kabisa Mkuu.Niko poa kaka.
Uko poa?
Na kwako pia mkuu.Hahahahahaha ucku mwma wapendwa!!!
Na kwako pia mpendwa wangu.Hahahahahaha ucku mwma wapendwa!!!
Ulale salama kaka.Usiku mwema wakuu.
Mungu awe pamoja nasi usiku wa leo.
*_______[emoji120] Amen[emoji120] ______*
Nawe pia brother.Ulale salama kaka.
Utaweza wewe!?Anajipa moyo.
Akizubaa hata shemeji yangu agigy tutazima taa.
Mkuu vipi umetumwaHabhaaa.....
Huyu aggy mtamu saana....[emoji126] [emoji126]
Hapana mpenzi, mambo mengi ndo maana nikachelewa. Nsamehe baby!Jaman hny nlikuquote kwa jina lako tamtam tangu mda mfupi tu, bt umenipotrzea
Ulala salama mpenzi, usisahau kuniota.Usiku mwema,wote humyu...
Inambidi apotezee tu.Ajue ndo basi tena
Na mwaka huu Atajiju.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mpeni moyoo mkuuu
Daaaaa Nahreel anahitajikaa kwelNa mwaka huu Atajiju.