Mkuu upo salama lakini?Habari za jioni wakuu.
Yes braza....Yeah my braza. Ubinadamu kazi
Hapa unampiga kijembe Youngblood au!
Niko poa kaka.Mkuu upo salama lakini?
Bayern lazima akaeer![]()
![]()
Atletico Madrid
....................
Mbona tyr wakongwe wapo hoiWakuu makapuku mmetisha kwa ushirikiano, nilichogundua ushirikiano huu umevuka mipaka, sio hapa kwe.ye uzi huu tu bali hata kwenye nyuzi zingine makapuku wakionana IDs zao popote wanapigana likes kwanza ndo wasome posts/comments
Anajipa moyo.
Kweli kabisa mimi pia nimeliona hilo.Wakuu makapuku mmetisha kwa ushirikiano, nilichogundua ushirikiano huu umevuka mipaka, sio hapa kwe.ye uzi huu tu bali hata kwenye nyuzi zingine makapuku wakionana IDs zao popote wanapigana likes kwanza ndo wasome posts/comments
Binadamu wabaya sana.Hapa unampiga kijembe Youngblood au!
Umeona eee, akirudi atajificha wapi huyu mbaya wako?Binadamu wabaya sana.
huhuhuhMbona tyr wakongwe wapo hoi
Makapuku tuna likes nyingi kuliko idadi ya posts
Sasa tuone km wataanzisha thread "Kapuku anaongoza kwa likes Jf"
Kazi wanayo
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
Karibu kaka mhuni
Masela mda wa kubeti
Ha haaa mkuu acha hizoooAnajipa moyo.
Akizubaa hata shemeji yangu agigy tutazima taa.