Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378
Usinichekeshe bwana. Eti zigo la ukweli na ngozi fulani hivi. Sisi akina ngosha tunalaumiwa sana kuwa eti tunapenda ngozi nyeupe. Mimi sijali rangi wala kabila ali mradi tu mtu tuelewane kimitazamo. Kuhusu ng'ombe hilo halina tatizo. Ninao wa maziwa, wa kawaida na madume ya kulimia huko kijijini. Baba mkwe atakuja achague mwenyewe anachotaka. Baba Paroko basi na aachie mibaraka yake ili iwe!Hakuna matabaka mkuu, ndio maana likes zako 5 sawa na bitoz, hapa usawa upo sana.
Hili la kimwana usiwe na hofu pitia kwa paroko jambilo ana mafaili ya warembo waloleta maombi ili kupata wenza. Najua unapenda zigo la ukweli na ngozi ya rangi flani kwani file lako liko kwangu wew andaa ng'ombe wa kutosha kama jadi yenu watu wa kanda ile