willy fredy
Member
- Mar 3, 2016
- 53
- 125
Makapuku nimewakumbuka sana....natumai familia imeongezeka
Yupimtoto huyu atakuwa anapenda kubet sana
Subiri wachonge tu.Umeona eee, akirudi atajificha wapi huyu mbaya wako?
Avatar yako hii utalamba LIKES kibao wewe stay tuned tomtoto huyu atakuwa anapenda kubet sana
Adui mwombee ukame then njaaSubiri wachonge tu.
Yatawakuta.
poa niaajeMambo!
Dinner karibuni View attachment 342786View attachment 342787
Huyu hata akinitukana nitalike tu.Avatar yako hii utalamba LIKES kibao wewe stay tuned to
poa niaajeMambo!
Usimwendee kando bila shaka unakumbuka kisa cha yule jamaa kwenye uzi flani alidhani demu akaishia kuoga matusiHuyu hata akinitukana nitalike tu.
Yule jamaa naye alikuwa kiazi.Usimwendee kando bila shaka unakumbuka kisa cha yule jamaa kwenye uzi flani alidhani demu akaishia kuoga matusi
Jf raha sana.
Waunge mkono mkuu hawana hiana humuNapenda tu huu uzi unatembea kama njugu makapuku wenzangu
JambiloWerrason!

Karibu mkuu.Napenda tu huu uzi unatembea kama njugu makapuku wenzangu
Bonwi!Jambilo![]()
Tuko pamoja mkuu tangia wakat tunalalamikia likes za makapuku kutoongezeka zaid ya 5!Waunge mkono mkuu hawana hiana humu