Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Aisee inabidi nifanye maarifa.Hahaha mwendeee kwa PETER MSECHU (PM)
Aisee inabidi nifanye maarifa.Hahaha mwendeee kwa PETER MSECHU (PM)
Bro Nahrene hawezi kuniacha tumetoka mbali sana.Hahahaa... Si useme mwenyewe kama umeachwa!
Pambana usife na shinikizoAisee inabidi nifanye maarifa.
Za jioni my loveYes babe!
Pambana usife na shinikizo
ila kwanini mkuu ulimwachia akaondoka hata kunipa hi.??Hahahaha atakuwa anaongea mwenyewe huyuNi mbaya sana kujifariji mwenyewe.
![]()
![]()
Nzuri my love!Za jioni my love
Hongera sana mama.
- Ili waje wanasoma uchangiaji wako. Ukiwa na muelekeo wao watakuja tu ila mimi huwa napost vitu general or politics or vinavyohusu maisha in general mtu hawezi kuja kama hujapost upupu unless wanataka msaada. Nimejipatia watoto wa ihari JF na ninawapenda sana wapo kusini mwa TZ, wapo Dar na wengine sijuhi hata walipo sababu we just talk about life. Kuna binti yangu ni mjasiria mali wa asali toka Mpanda huyo ni kama mwanangu sababu tumeonana, ameniintroduce kwa mme wake na mjukuu halafu we are like a family. Thanks to JF.

Missing you honeyNzuri my love!
Miss u more babeMissing you honey
Ximena yupi unaemuulizia??Patience123 yuko wapi ati dada Jimena#
Mkuu ilikuwa kama ajali tu but kilio chako nilifikisha bila hiana mkuu, na aliahidi kukurudia na hana kinyongo bali ametingwa sana mkuu![]()
![]()
ila kwanini mkuu ulimwachia akaondoka hata kunipa hi.??
Toka morning honeyMiss u more babe
Yuleyule wifi yakoXimena yupi unaemuulizia??
Mbona mnachonga sana.?Hahahaha atakuwa anaongea mwenyewe huyu
Nini tena, brazaMbona mnachonga sana.?
Yanga imara daimaAzam:
Majimaji
Yanga:
Mgambo
Full time
Na leo tumebebwa
![]()
![]()
![]()
.............
Poa mkuu.Mkuu ilikuwa kama ajali tu but kilio chako nilifikisha bila hiana mkuu, na aliahidi kukurudia na hana kinyongo bali ametingwa sana mkuu