Hii iko hivi;
Usijali husna nimwelewa atanielwa tuNahisi hilo ndio limekuponza
Hapana mi sio mchawihahahh! basi sakayo anataka kurogwa ebu mfanyie mambo yako!
Nimeishakuja
Wenda it's trueNadadavua hii hapa:
Jamaa anaonekana kuwa yuko kifungoni/kizuizini..
Angalia jamaa kafungwa mikono kwa minyororo ni ishara ya kuwa kifungoni
Jamaa yuko naked, manake hana uhuru au yuko kwenye sehemu hana privacy..
Ndege ndio mkombozi wa jamaa, ndege ndio mtetezi ila mteteze asijekiwa na uwezo, angalia pembeni kuna manenon kah ! Kah ! ...
-Maana ya hayo maneno ni sauti ya ndege akijaribu kukaga cheni kitu ambacho ni kigumu.
Ila pia kuna jani chini pembeni ya ndege...! Labda ndege anajaribu kulimlisha jamaa.
Mwisho; jamaa yuko kifungoni, mtetezi wake hana nguvu ya kumsaidia; ni ndoto kwa huyo ndege kukata cheni
I stand to be corrected.
Akiendelea kuzingua nitau-editUle uzi unakuumbua
Basi sawahongera basi handsome wewe
Nataka anijaribu mieEeeh!
Akaloge kwao ! Mimi haniwezi aisee
Shingo yake inaonekana ndefu kweli inaonyesha amekondeana sanaHii iko hivi;
Jamaa ni mtumiaji wa vilevi ( hasa sigara) kama picha ilivyo.
Mtumiaji wa kilevi anatumia bila kujua athari ambazo zinampata yeye.
Nje ya mwili anaona moshi na anahisi yuko salama ila ndani ya mwili kuna bomu linajitengeneza..
Haina tofauti na zile baruti za kutumia tambi/ yaani explosion inakuwa ipo mahali theni source of fire inatokea mbali...
Hiki ndicho kinachoendele hapa..
I stand to be corrected
hahah! umeogopa nini sasa kwenye hiyo avatarDuuh mkuu avatar yako nimejaribu kuielewa nimeishia kuogopa
hahah! umeogopa nini sasa kwenye hiyo avatar
mkuu wamekukomalia na uchawi wako! utajuta kwanini uliandika ule uzi wa SUMBAWANGAMi sio MCHAWI aisee
Unaniuliza wakati unamjua alie kuacha mataaMzee gani?!
hahah! iyo avatar ni swaga tu kama swaga zako za sumbawangaHuyo jamaaa sijui kaungua mdomo
Ulifikiria nini?? Kuiweka
Mi sio MCHAWImkuu wamekukomalia na uchawi wako! utajuta kwanini uliandika ule uzi wa SUMBAWANGA
hahah! iyo avatar ni swaga tu kama swaga zako za sumbawanga