Makapuku Forum

1972 - Watergate scandal: Wafanyakazi Watano wa Ikulu ya Marekani wanakamatwa ndani ya ofisi za Chama cha Democrats baada ya kuingia kiwiziwizi kwa lengo la kwenda kutegesha vifaa vya kurekodia mazungumzo ya Wapinzani.

Kashfa hii ilikuja kumsababisha Rais wa kipindi hiko wa Marekani, Richard Nixon kujiuzulu wadhifa wake.
 
Mauaji yaliwaaibisha na kuwaudhi FBI Achana na Pretty Boy Floyd walikuwepo pia wahalifu sugu enzi hizo akina John Dilinger na Babyface Nelson ambao waliisumbua FBI na Marekani kwa ujumla
Ila FBI chini ya Edgar J Hoover ikafanikiwa kuwanyamazisha kimyakimya
Bwana mkubwa Hoover ndo muanzilishi wa FBI na aliifanya kama mali yake binafsi ila aliiendesha kwa weledi na akadumu kwa muda mrefu sana sababu kila Rais alimuogopa kumtumbua ili asivujishe siri zao chafu
.....
 
Hhaaa!

Yule jamaa alikuwa katili wa kufa
 
Nadhan Nash mc katoa huku jina
 
Ni kweli ndugu. Huu Uzi kwajili ya kupeana taarifa na mambo mbalimbali ili kuongeza maarifa katika ubongo wetu.

Swala la likes ni kama support Tu. Mtu akija kwenye huu Uzi ili kupata likes anakosea Sana.

Tupo Kwa ajili ya urafiki na kupeana taarifa muhimu.
 
Duniani kumepita majemedari wa kila aina.

Ama kweli Dunia ni uwanja wa fujo!
 
Point mkuu...!


Hapa tuna stretch akili ya mtu..! Unajua ambalo ulikuwa hujui..


Unapata marafiki zaidi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…