Makapuku Forum

wanamtamani ila hawana uwezo wa kuvunja mkataba wa Ajibu pale Simba
Ajibu hana mkataba wowote Simba(mkataba wake unaisha July) hivyo ndo anaweza kusaini popote
Hivyo havunji mkataba wala hauzwi anakuja tu BURE

Akitua Jangwani ni uzembe wa viongozi wa Simba kutomuongezea mikataba mapema yatakuwa km ya Amissi Tambwe
Tusubiri tuone
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…