shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hamna namna nyingine sasa shemelanimeona shemela cha kufanya sina ndio nishaipenda
Hamna namna nyingine sasa shemelanimeona shemela cha kufanya sina ndio nishaipenda
Duuh aisee kumbe unaingelea season ya empire najua ilo babaAhaaaaaah usinichekeshee uliyemuweka avatar humjui uhusiano wake na avatar yangu
Aha ha ha ha ha ha ha ha hakwahiyo hiyo avatar uliyoweka hujui ni ya nani hujui inahusu nini
mmhUnashabikiaa timu ganiii
Lakiniii weeweeNilishamuachaaa
Kiroho safi au Kiroho chafu?moyoni kabisa Baba D kwenye ukweli tuongee ukweli

Ahaaaaaah usinichekeshee uliyemuweka avatar humjui uhusiano wake na avatar yangu

Ok sieee twalisongeshaaaa yaaaeeeehInachukiwa basi tu maana hata mitaani watu huchukiana bila sababu
Thread inaanzishia nyuzi za kuiponda sababu tu ina mambo matamu
Chukua mfano kuna thread nyingi za hovyo mfano hii ya leo usitegemee kuona watu wakiandika thread kuiponda km ilivyokuwa kwa Wakongwe Forum ambayo hakuna aliyewahi kuisema japo ilikuwa thread ya hovyo kabisa
.........
HujuiiiNajua! Aisee muulize mmeo
No mkuuUmsikie Umirahel akitaja hilo jina hadi raha
Haya tumekuelewaNilishasema simtaki tena jamani
Nipe sababu 7moyoni kabisa Baba D kwenye ukweli tuongee ukweli
Love u moree
Wahenga au?!Kutoka baby mpaka mkuu ...walisemaa
BaloziNyie jamaa mmenifanya nicheke
KF ilianza maalumu kwa ajili ya story ila ghafla ikageuka movement na watu kujazana siku ya kwanza tu replies lilikuwa 10+ kisha akaanza kusepa mmojammoja maana wengine walikuwa kinafiki na zugazuga tu pengine kufuata like za washambawashamba wachache
Baada ya hapo yaani km mwezi mmoja hivi tukaigeuza thread ya kijanja kwa kuanzisha segment hapo ndo pekee palipoiokoa thread kufa au pengine kupoteza mvuto
Now KF ni km Chitchat ya wenye Phd kiasi cha kuwavutia karibu wanaJF wote kuifuatilia (subscribe) na kujifunza mambo mbalimbali japo wanaamua kupita kimyakimya na kutuanzishia mathread ya kutuponda....
Thread haimkatazi mtu yoyote kuwepo humu hata Ngedere ila baadhi ya wakongwe wanajishtukia shtukia tu
........