Makapuku Forum

Makapuku Forum

Umeongeaa vyema

Ila najiuliza kwa nini kapuku inachukiwa hivi ?? Tofauti na kufatiliwa ila ukweli ni kwamba inachukiwa na memberz wa jf ...

Yote kheri make thread zinazoanzishwa zinaleta umaarufu wa uzi huu

Japo na sis wenyewe tunakuwa na tantalila kibao hatutekelezii tunayoyasema kwa umoja ...
Inachukiwa basi tu maana hata mitaani watu huchukiana bila sababu
Thread inaanzishia nyuzi za kuiponda sababu tu ina mambo matamu
Chukua mfano kuna thread nyingi za hovyo mfano hii ya leo usitegemee kuona watu wakiandika thread kuiponda km ilivyokuwa kwa Wakongwe Forum ambayo hakuna aliyewahi kuisema japo ilikuwa thread ya hovyo kabisa
Binadamu bingwa wa unafiki
.........
 
Niongeze tuu.

Leo waandamanaji wamemtolea uvivu waziri mkuu wao Theresa May alipofika eneo la tukio kwa ajili ya kujionea athari zilizotokea.

Shukrani kwa jeshi la polisi la West london kwa kumlinda Waziri mkuu. Hali ilikuwa mbaya mno ametupiwa maneno ya dhahaka na matusi..

Moja ya maneno ya waandamanaji ni ;

1. What is she doing here?

2. She is going back to her nice cosy home..

3. Murderer

4.Coward

5. Get the **** out..

Hayo ndio maneno ya waandamanaji kwa Pm Theresa May wakiitaka serikali ijibu lini haya majanga yataisha na ni kwanini yametokea..

4c676795ff56e1da607ae2ec9bc35be7.jpg
May akiwasili.

d4acb865e25de4741f250f8cec3c02cb.jpg
73e3820733bcd6233bc5531377df7c1c.jpg
Theresa may akutana na shubiri ya waandamanaji.
d79659491c7a5460e4a1531505f4940b.jpg
3eae8cf8255fa12414654b114c26ca24.jpg


Sasa Tz mtukane PM uone..
Asantee mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom