Makapuku Forum

Makapuku Forum

Namba 05 ...

Polisi wamethibitisha kwamba idadi ya watu waliofariki kutokana na janga la moto kwenye jumba la Grenfell Tower London Uingereza imefikia 30 ..

d988515c5a7e3ced0600778fcccff12d.jpg
Niongeze tuu.

Leo waandamanaji wamemtolea uvivu waziri mkuu wao Theresa May alipofika eneo la tukio kwa ajili ya kujionea athari zilizotokea.

Shukrani kwa jeshi la polisi la West london kwa kumlinda Waziri mkuu. Hali ilikuwa mbaya mno ametupiwa maneno ya dhahaka na matusi..

Moja ya maneno ya waandamanaji ni ;

1. What is she doing here?

2. She is going back to her nice cosy home..

3. Murderer

4.Coward

5. Get the *** out..

Hayo ndio maneno ya waandamanaji kwa Pm Theresa May wakiitaka serikali ijibu lini haya majanga yataisha na ni kwanini yametokea..

4c676795ff56e1da607ae2ec9bc35be7.jpg
May akiwasili.

d4acb865e25de4741f250f8cec3c02cb.jpg
73e3820733bcd6233bc5531377df7c1c.jpg
Theresa may akutana na shubiri ya waandamanaji.
d79659491c7a5460e4a1531505f4940b.jpg
3eae8cf8255fa12414654b114c26ca24.jpg

Sasa Tz mtukane PM uone..
 
5. Get the **** out..

Unapotezwa aisee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom