Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Mi Niko poa afande habari za kupambana na maishaMambo vip mndali??
Mzizi mkavuMzeeee mkavuuuu....my son Hakeem ..umenikoshaaaaa
Japo...
simba wanakera kuna mda okwiiii wa niniii
Kweli kbsa,tatzo mume hajui kama kaachwa hapoHawajui tu, thamani ya mume ni kubwa sana hata kama umeachana naye
Ndio maana tukawa pamoja![]()
![]()
tumewaza sawa hny

Your son hakeem ndo nani?? au ndo mambo ya ciimbaMzeeee mkavuuuu....my son Hakeem ..umenikoshaaaaa
Japo...
Ndiooo![]()
![]()
![]()
mbavu zangu mke mwee umeufanya usiku wangu uwe mzuri kabisa ni kweli pasua kichwa mama sema ndio hivyo mahaba niue huna la kufanya ukipenda boga upende na ua lake
Nilijua tu huko umecheka sana![]()
![]()
![]()
mbavu zangu mke mwee umeufanya usiku wangu uwe mzuri kabisa ni kweli pasua kichwa mama sema ndio hivyo mahaba niue huna la kufanya ukipenda boga upende na ua lake
Muulze vzr utaelewa tu![]()
![]()
Simwelewi wifiyo
Umeongeaa vyemaNyie jamaa mmenifanya nicheke
KF ilianza maalumu kwa ajili ya story ila ghafla ikageuka movement na watu kujazana siku ya kwanza tu replies lilikuwa 10+ kisha akaanza kusepa mmojammoja maana wengine walikuwa kinafiki na zugazuga tu pengine kufuata like za washambawashamba wachache
Baada ya hapo yaani km mwezi mmoja hivi tukaigeuza thread ya kijanja kwa kuanzisha segment hapo ndo pekee palipoiokoa thread kufa au pengine kupoteza mvuto
Now KF ni km Chitchat ya wenye Phd kiasi cha kuwavutia karibu wanaJF wote kuifuatilia (subscribe) na kujifunza mambo mbalimbali japo wanaamua kupita kimyakimya na kutuanzishia mathread ya kutuponda....
Thread haimkatazi mtu yoyote kuwepo humu hata Ngedere ila baadhi ya wakongwe wanajishtukia shtukia tu
........
please my be sereousMi sio wako tena
![]()
![]()
![]()
Tangiapo hajuiKweli kbsa,tatzo mume hajui kama kaachwa hapo
Imetokaa moyonii ??timu kubwa wapiii timu kubwa chelsea
Mme wakooMijicho kodooo km fundi saa kapoteza nati
Ndiooona ile dhamana aliyopata ya kulipa mill 200 ni tofauti na haya