Makapuku Forum

1971 - Tupac Amar Shakur anazaliwa.

Alikuwa ni rapa wa Hiphop kutoka nchini Marekani
Kwangu ni mmoja wa marapa bora wa muda wote
Alimpenda sana mama yake Affen Shakur aliyefariki mwaka jana mwishoni au mwaka huu......ilitokana na jinsi alivyomlea kwa mapenzi makubwa km single mother pamoja na umaskini hivyo ndo maana aliimba Dear Mama kumsifia Ugomvi wake na Big Poppa(Notorious BIG) ulichangiwa na mashabiki wao (East Coast na West Coast) mwisho wa siku wote wakauawa kwa kupigwa risasi

Tupunguze ushabiki maandazi wa Team Kiba na Team Diamond
.......
 
We ongea tu mwisho povu namwagiwa mie Shem
Ohoooo




Wengine tuna za kunguni au ile misemo ya wahenga ya "kunya anye kuku akinya bata kaharisha"
 
Sure
 
- Leo ni siku ya Mtoto wa Afrika.
Ilitokana na kile kilichotokea huko Sauzi Soweto Uprising ambayo imeshaelezewa huko nyuma

Hivyo Afrika nzima huungana kuwaenzi pamoja na watoto wengine wote wa Kiafrika wanaopitia masahibu mbalimbali
Moja kati ya novel bora za muda wote kumzungumzia mtoto wa Afrika
......
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…