Makapuku Forum

Bhinamu asante umenikumbusha enzi za mzee akiwa kijana ...

Sema binamu uliponiacha ata sehemu yetu pendwa kuna goma limepigwa naomba utuwekee si unajua kapuku twapendana ...jina dj hajatambulishaa ila unaimba hivi..

Pacha wangu ....(.gitaa linakunwaaa)...umeamua ..kuniacha peke yang mama kwa ajili ya pesa. (..giitaa linakunwaaa)
 


nalijua hilo goma anko ha hahhahahaha.

Hivi kumbe uliendelea kubaki pale pale, nilimuona na yule teller ukiwa kwenye mkao wa kupokea ripoti ya tatu ya makanikiaπŸ˜€
 
nalijua hilo goma anko ha hahhahahaha.

Hivi kumbe uliendelea kubaki pale pale, nilimuona na yule teller ukiwa kwenye mkao wa kupokea ripoti ya tatu ya makanikiaπŸ˜€
Ha ha ha nilikuona unazunguka kama pia kule jikoni ila wewe kiboko yule mhudumu nasikia kaja jana unataka usajili wa namba E kabisaa. ..ila kumbuka hii vita sikuteteii make yule mhudum nayemtaniaga profesa wako kwa kuvaa miwan kidogo ashtukie ila nikampozaa

Mm bado nipo na usajili wangu mpya DXY ...CM namba nimedaiivet kwakoo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…