Makapuku Forum

2/The Greco--Persian War
Hii ilihusisha migogoro mitatu iliyopiganwa kwa miaka 50 lakini wana historia wameakisi zaidi mgogoro mmoja zaidi
Ilihusisha dola kibao zikiongozwa na Athens Empire dhidi ya Persian Empire ambayo kipindi hili ilikuwa ndo himaya yenye nguvu zaidi duniani
Vita ilianza kwa Wagiriki kuishambulia miji kadhaa ambayo ilinyanganywa miongo kadhaa nyuma
Ugiriki akashinda vita.
Ilidumu miaka 50 {449--449 BC)
......
 
Aisee
 
Duh aisee
 
Wewe mbona mama ashura alikucharukia kuhusu bidhaa zakoo


Yule alitaka kukopa, nikamkopesha na masharti ni kuwa naye anipe kwa mkopo wa muda mrefu bila kugeuza mkataba. Akasaini mkataba na alipomaliza kutumia forevaliving, mkataba ukawa unaniruhusu kuchimba dhahabu kwa mkopo.

Ile charuka yake yote ni baada ya mimi kutaka kuchukua makanikia, si akacharuka eti hayako kwenye mkataba.
 
 
Miongo mitano si mchezo
 
 
1/The Hundred Years' War
Hii ilikuwa ni vita baina Waingereza na Wafaransa kugombea utukufu/makoloni throne
Wafaransa walishinda vita
Watu zaidi ya Milioni 3.5 walipoteza maisha
Ilipiganwa kuanzia 1337 had I 1453(miaka hesabu mwenyewe)
.
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti nada
Tukutane kesho
Mwisho
...........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…