Huyu sio aunt yangu, huyu ni teller wa vicoba bank and byurodichenji , alitembeaga na anko wangu lee empire
Kwani wewe humjui aunt yangu, yule wa ukweli acha hawa wa Kibiti
Si kwa upana huo
Binamu mtoko wako
Pilipili kichaa au mangaWe mbishi kama pilipili
Kumbe ana geto murwaaaKwa Bitoz
Daaa Kupiga goti kwa demu sitoweza hata siku moja
Enzi zile lee na shuny
Duh, nashindwa hata niseme nini ndo ujue haya maua nimeyapenda ba kuyafurahia sana. Asante sana Husna
Hiz shule bora zifungue
Joto la humo sipat picha
Maisha yanasonga
Nipo mzee wa saa mpya majukumu yalibana kidogoNipo mdau, ulipotezwa sana. Nipo tu mzee wa kumechisha
Watu wengi sana hao walipunch10/Vietnam War
Ilikuwa vita kati ya Vietnam Kusini na Kaskazini
Vita ilianza Nov 01 1955 baada ya Marekani kuanza kutosa sapoti ya kijeshi kwa Vietnam Kusini ambao walikuwa wakipambana dhidi ya Ukomunisti na Kaskazini
Urusi na China nao wakasapoti Vietnam Kaskazini na vita ikawa kali na kupiganwa hadi 1975
Rais wa USA alikuwa ni John F Kennedy ambaye baadaye aliuawa na kurithiwa na Lyndon B Johnson ambaye aliendeleza gurudumu la vita
Mwisho wa siku April 30 1975 Vietnam Kusini na USA wakashindwa vita na hivyo Vietnam Kaskazini kuimegaKusini na kuunda The Socialist Republic of Vietnam
Vita iligharimu maisha ya watu Milioni 2.4
Ilidumu kwa miaka 19
.........
Sawa dadaAtakuwa busy kuatafuta ugali
Mkeo umemficha kweli leoNiko hapaaa
Kama kawa mzee niajMambo ni aje humu
Asante mkuu ila nina kiu nitapata maji ya kunywaKaribu sana
Duuuu...!!! AiseeeMkono wa Mmarekani huo
Hata Libya na Irak watauana hadi waishe
.........
Bitoz unapiga kaz kubwa hapa ndani3/The Guatemalan Civil War
Mwaka 1954 Kanali Carlos Castillo Armas aliipindua serikali ya Guatemala akisaidiana na Marekani kupitia kitengo cha CIA
Mwaka 1960 Nakanali wengine wanafanya mapinduzi lakini wakashindwa
Sasa baada ya kushindwa ndo ikaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo ilidumu hadi mwaka 1996 uliposainiwa mkataba wa amani baina ya waasi na serikali
Watu zaidi ya 200,000 walipoteza maisha
Vita ilidumu kwa miaka 36
.........
Enzi hizo
Tbt amaizing na washikaji