Makapuku Forum

6/The Peloponesian War.
Ilikuwa ni vita baina ya Athens Empire dhidi ya Penoponesian League(Spartans) ambayo ilikuwa ni vita kali ya bahari ni na kusambaa hadi Uturuki pwani ya Mediterrania ilihusisha meli zaidi ya 150 kuzama nikiwa na mabaharia zaidi ya 3000
Athens walishindwa vita
Ilidumu kwa miaka 27 (431--404 BC)
......
 
5/The War Of The Roses Hii ilikuwa vita huko Uingereza ikihusisha koo mbili za kifalme, House of Lancaster ilivyokuwa inatumia red rose na House of York iliyokuwa ilitumia white rose km nembo
Mfalme mmoja akafia vitani huku wengine wawili wakifa kwa majanga ya asili
House of Lancuster chini ya Henry Tudor ilishinda vita dhidi ya House of York iliyokuwa chini ya Richard III na hivyo kuwa King Henry VII
Vita iligharamu maisha ya watu zaidi ya 100,000
Ilichukua miaka 30 (1455--1485)
........
 
4/The Thirty Years' War
Ilianza 1618 May baada ya Waprotestanti kuishambululia ngome ya kifalme huko Prague Kingdom of Bohemia na kuwatupa nje watu watatu ambao walikuwa ni viongozi wapya wa Kikatoliki
Baada ya hapo Waroma nao wakaanzisha vita dhidi ya Wajerumani na najirani zao
Mwisho wa siku Waroma na Wahispaniola wakashindwa vita
Vita iliisha 1648{miaka 30)
......
 
3/The Guatemalan Civil War
Mwaka 1954 Kanali Carlos Castillo Armas aliipindua serikali ya Guatemala akisaidiana na Marekani kupitia kitengo cha CIA
Mwaka 1960 Nakanali wengine wanafanya mapinduzi lakini wakashindwa
Sasa baada ya kushindwa ndo ikaanza vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo ilidumu hadi mwaka 1996 uliposainiwa mkataba wa amani baina ya waasi na serikali
Watu zaidi ya 200,000 walipoteza maisha
Vita ilidumu kwa miaka 36
.........
 
Duuuuu miaka 36!!! Hatari
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…