Makapuku Forum

Ingekuwa hatarii lakini uzuri wanajua wewe ndo uwa unanituma nipeleke ...na wote hawajang'amua pale kwa cheus nani Acacia nani Barricks ...

Hawajajua kabisa hilo shukuru, yaani mimi ndo naonekana zaidi kwa kuwa nimeshika mapembe , kumbe wewe umetulia unakamua tu tena kiulaini kabisa. Hii dunia haiko sawa kabisa wallah
 
Hawajajua kabisa hilo shukuru, yaani mimi ndo naonekana zaidi kwa kuwa nimeshika mapembe , kumbe wewe umetulia unakamua tu tena kiulaini kabisa. Hii dunia haiko sawa kabisa wallah
Watajulia wapi binamu make hizi tikitaka zinavyopigwa wee nomaaaa ila nahsi mm na wewe hatuaminianii ...cheusi ulimwambia nn kwanza
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…