Makapuku Forum

Nakuaminia kweli na mm jana ile bili yako nimeilipa lakini tuwe tunaambizana sitaki wakuchafue jina lako
Cheus wako nimemalizana nae kiroho safiiii najua amekwambia


Yeah, kanitumia meseji! Umefanya vizuri hebu fikiria wale wahamiaji haramu wangekuona umeleta nyama kwa mamaaa si wangeweka matangazo hadi kwenye gazeti la Annur
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…