Makapuku Forum

3/DRC
Huwezi kuamini Hii ni nchi maskini zaidi barani Afrika km nimekosea basi ipo tu kwenye 3 bora ya umaskini
Wakongomani ni Choka mbaya achilia mbali pamba wanazopiga ili watutapeli
Kila siku huko ni vita tu mara waasi mara sijui nini....nchi yao ina hali mbaya kimiundombinu na afya na elimu
Kwa mwaka DRC huzalisha almasi Carats 15,600,000
.......
 
hawajui km kuna haki sawa
 
Milimani huko mvua ikinyesha kubwa sana watu huwa wanajiokotea almasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…