Makapuku Forum

Ni shida, ila cha ajabu ni kwamba kila kipindi cha jua na mwezi yanapokuwa upande furani huwa kuna shida sana baharini, na hata wanasayansi wanatafuta connection ya mwezi na bahari na jua na bahari
Connection siyo kwamba ni nguvu ya uvutano tu huyu mkubwa anamvuta huyu, huyu naye anamvuta huyu?

Niko interested sana na mambo haya kwani kupitia kwayo huwa nauona utukufu na uwezo wa Mungu live; na huwa hainiingii akilini kabisa kuwa mifumo yote hii tata na iliyopangwa kwa ustadi wa ajabu eti imetokea tu by chance!
 
4/Australia
Ni nchi pekeet duniani ambayo ni bara.....kwenye soka imejisogeza huko barani Asia na ni mwanachama wa Shirikisho la mpira Asia
Mgodi mkubwa ni Arggyle unaomilikiwa na Rio Tinto(wamnyonyao almasi babu Mugabe)
Ndo mzalishaji mkubwa wa almasi ya kahawia na waridi
Kwa mwaka huzalisha Carats 11,700,000
.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…