Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
[emoji2] [emoji2] utamuua sasa shemelaSasa apo ndo inabidi ukizibue na vodka kwanza kilainikee
[emoji2] [emoji2] utamuua sasa shemelaSasa apo ndo inabidi ukizibue na vodka kwanza kilainikee
TutafanyajeeBaba D bana [emoji23] [emoji23]
KinalainikaaUkinywa vingine
Kufa hafi ila cha moto anakiona kama hajabebwa mpaka kwa mke mwee[emoji2] [emoji2] utamuua sasa shemela
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kufa hafi ila cha moto anakiona kama hajabebwa mpaka kwa mke mwee
[emoji2] [emoji2] ila mm sio sana lakiniTutafanyajee
Na wewe ukiweka kile ukipendacho kichwa kinakuwa kama cha D
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23]
KaribuTOP TEN
baada ya kushiba togwa na ugali maharage leo mchana nikapata utulivu na kuwaza cha kuandika ila kila nikiingia mitandaoni nasikia tu makelele "mchanga wa madini" baada ya kupitia kwa makini nimegundua madini hapo dunia nzima isipokuwa tu sisi hayatunufaishi kutokana na kukosa viongozi wazalendo
Nchi nyingi mfano China na USA zinanufaika na rasilimali zao chache na hawaachi kitu....
Sasa basi tuangalie nchi 10 vinara wa kuzalisha dhahabu duniani yaani nchi ambazo huchimba madini ya dhahabu nchini mwao au ambazo migodi yao inazalisha dhahabu nyingi
Kumbukeni mgodi ni rasilimali ya nchi siyo wawekezaji
Karibuni
......
Ata kama sio sana[emoji2] [emoji2] ila mm sio sana lakini
Tumechochea nn mke mweeeMke mwee kwa nini we na mumeo ni wachochezi hivi jamaan
Karibu mke mwee[emoji4] [emoji4]Tumechochea nn mke mweee
Ole wako aleweKama whisky hivi namuonaga Baba D anakunywa captain morgan au hata beer shemela inaonekana hutaki shida we kinywaji chako laini tu
Kiduchu tu jaman [emoji85]Ata kama sio sana
Baba D ukuje jaman unakimbilia wapi sasa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Kiduchu tu jaman [emoji85]
Mkisikia habari za vyeusi mangala we na mumeo mnafurahi sana jaman nini shida lakiniTumechochea nn mke mweee
Ahhhha Baba D atamletaOle wako alewe
Waache labda wanasogeza swaumMkisikia habari za vyeusi mangala we na mumeo mnafurahi sana jaman nini shida lakini