We hujagundua anataka yale ya mama mchuchu hata kama ameokota barabarani,hata kama yamenyaukabinamu ngoja tumosa aje kwanza ujue binamu unajiharibia mwenyewe we ungesema asante tu hata kama haujayapenda
JWTZ kupelekwa Kibiti kutaongeza mauaji zaidi. Waliomo na wasiokuwemo.
Unamlinda nani humu na wewe bado Unafikiria kati yangu na Obe umkubali yupi?Mimi mlinzi
Kumekucha salama Rafiki kipenz.... Naona jana umewahi kulala.Wakuu kumekucha swalamaaaaaa. .....soon UF
Ha ha ha ha ha ha ha.... That is a real jail.
That is wonderful...... Proof of help from god.
Ha ha ha ha ha ha
Asante kwa UF Rafiki kipenz... Na wewe pia uwe na asubuhi njema.Tuwe na siku njema wanafamilia pendwa
Ila
Ila hii ripoti ukiipitia inakuacha na maswali lukukii na kuzidi kukukanganya kwa mawazo yangu lakini ..mfano ripoti imesema kuhusu kuondoa hisa za serikal katika mikataba hii ya madini toka 15% mpaka 0% na mawaziri tofauti ok hatujui walifanya kwa maksudi au manufaa yapi ? Lakini sasa ukipitia sheria ya madini ya 73 yr na kurefer mikataba ya awali ya Acacia unaona Acacia wana hati ya kufanya hivo ..Ni kweli, pia hayana uchambuzi wa kina yanaandika habari kisiasa zaidi
Na wewe piaAsante kwa UF Rafiki kipenz... Na wewe pia uwe na asubuhi njema.
Asante mkuu Shululu kwa vichwa vya habari za magazeti ya leo.View attachment 523103Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Obe nawatakieni siku njema
Shukrani baba watoto na hongera binamu kwa udhamini mnonoView attachment 523103Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Obe nawatakieni siku njema
AsanteMfungo 18 leo, Ramadhan Kareem!
Ahsante pia mkuu!Asante
Nabet tu, Msimbazi itakuwa moto wa kuotea mbali msimu ujao!
Tupate mgombea mmoja kutoka humu wa kuchuana na Malinzi
Ngoja nisubiri kuona Chenge akishughulikiwa!
Sikuwa naijua hii
Wale wa Jangwani jiandaeni kisaikolojia, Manji mmemfukuza mwenyewe!