Makapuku Forum

Usifukue makaburi bagheshi
 
Amen...!! Ubarikiwe
 


Amen mtumishi

 
Nyie wasukuma kwa kufuga nyoka hamuwezekani
Hadithi tu. Kolomije na Gamboshi zote nimekaa sana na sijawahi kuona nyoka wa mauza uza. Ni wale wa kawaida mnagongana akiwa kwenye mishe zake unamuua basi mambo yanaisha. Matukio mengi ya uchawi mara nyingi ni hadithi zinazoenezwa na watu kwa kusudi maalum...
 
ni kweli mautani yaliyovuka mpaka siyapendi tena hayo ya thread za hovyo ndio sipendi kabisa mtu hakujui anakurupuka kukuanzishia thread ili iweje sababu tunachat jukwaani
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…