Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,282
- 35,645
Binamu nakugawa tena bure binamu sina mimi![]()
Utanifanya nilie, ukinigawa nitaenda kwa nani sasa, au basi nigawe kwa BH kama kweli unataka kunigawa kwa nia njema
Binamu nakugawa tena bure binamu sina mimi![]()
Upo peterDuh kitambo kweli
Ahahaha ngoja nimuulize mama mchuchu kwanza kama atakubali eti mama mchuchu nikugaie binamu yangu bure utamchukua mama yanguUtanifanya nilie, ukinigawa nitaenda kwa nani sasa, au basi nigawe kwa BH kama kweli unataka kunigawa kwa nia njema
Basi wewe mtani wangu hamna neno.... Hofu yangu kupitia mgongo wangu usiwakwaze wengine bagheshi..... Ulihaya kineheUnene nalinsukuma gete gete mnaKolomoje nyanda omuGeni ng'wizukulu Mashishanga abingabusumabu gubalimi batale bamabuluba na mamchele. Naligitachang'wa Shimba ya Buyenze gitandagula mapanda na mabambasi...
Anaza kwesheni plizi...![]()
Muulize "kakako" Mzee wa Kung'oa akutafsrie. Yeye si alikuwa anatest zali kuona eti kama mimi ni Msukuma kweli...Nimecheka sana pamoja sijaelewa kilichoandikwa msukuma wewe![]()
Ishi! Gashinagha, olowiza na second kwesheni okodrop na one pipo yaani unitag nizhe nadegeleke bila kolya madeghele yaani stupid little fish gete fisherman ng'wana abdulah nkanyabape mfuma nyanza. Eti gadeem ni nini?

Inasikitisha maana haikujulikana wanakwenda kufanyishwa shughuli ganiI see, huwezi amini jamani
Wengine hukimbilia Colombia na Mexico ambako bei ya operesheni hizi ni ndogo. Tatizo huko sasa madaktari wengine ni makanjanja na matokeo yake ndiyo haya. Wengine wanapoteza mpaka maisha. Nitakuwekea hapa katika stupid criminals kesi moja ya kushangaza sana na mabinti kama watano walifariki wakijaribu kuongeza makalio. Ni shida!Mungu wangu![]()
![]()
mambo ya kurekebisha kazi ya mikono ya Mungu
Sent from my itel it1406 using JamiiForums mobile app
Mbona hujashukuru kwa mauaHa hahahahhaha, madeni mengine sio ya mali, ni ya HALI
Ooooho kumbe,bac sawaSio D bana mke mwee kwani D haujamuona Jana Baba ake alimuweka kwa avatar yake
Muziki na Urembo.
Ni jumatatu na ndiyo inaishiria, haijarishi unaimalizaje, tabasamu kwa sababu kesho ni siku nyingine tana Kapuku mwenzangu. Nilikumiss humu ndani.
Wikend yangu ilienda vizuri kiasi, Ijumaa na Jmosi zilikuwa sawa ila Jpili kuna jamaa ananidai, nilimkopa mavumba nikiahidi kumrudishia jtatu. Sasa tangu mornie hadi mawio simu hazikatiki, nikajiuliza, huyu si nilimwambia nitalipa jtatu, mbona anapapara wakati jtatu niliyomwambia sikumwambia ni ya tarehe ngapi. Yeye alidhani ni ya leo, kumbe huu mwaka una jtatu za kumwaga na hata 2018 kuna jumatau, hivyo awe mpole.
Kuna raha ya kudaiwa na pale unapomkwepa mdai wako kwa busara kama zangu basi unajipa nafasi nzuri ya kutokopeshwa wakati mwingine tena ukiwa na uhitaji. Ila huyu anayenidai ni ndugu yangu, usiniige mimi, utalost. Hongera kwetu tunaowapiga chenga wanaotudai. Yaani tuko kama ACACIA na makinikia.
Turudi kwenye muziki, madeni pembeni gitaa mkono wa kuume. Last wiki yaani wiki jana nilimpandisha Oliver Ngoma na wadau mlionekana kuvutiwa naye, asanteni. Baadaye nikaenda kujichimbia kidogo kuhusu huu muziki anaoucheza. Kifupi unaitwa Afro-Zouk.
Huu ulikuwa maarufu sana miaka ya 80 na 90s na ulienea zaidi toka katika visiwa vilivyokuwa chini ya Mfaransa na hata hapa Afrika muziki huu unachezwa zaidi katika nchi zinazoongea Kifaransa (Francophone) hususani Ivory Coast na majirani zake. Wao walitaka kuufanya kuwa na kasi fulani hivi ya ndombolo.
BTW, muziki na urembo na hapa tuelewane kabisa urembo sio kwa wanawake tu, hata wanaume tumeuboresha urembo tukauita utanashati na mimi kwa kuonekana smart ninavaa saa na kuchomeka ipasavyo huku ijumaa ni casuala na malapa sio ya kuogea lakini ni yale ya bei mbaya.
Tumwangalie Monique Seka, malkia wa Afro-zouk toka kwa kina Didier Drogba na alitamba na nyimbo kadhaa nzuri kama Misounwa, Baye na nyingine.
Binafsi naupenda sana Misounwa na ule alioimba na Meiway, utafute na unaweza kushara nasi bila kujali kama ulizaliwa miaka yangu ambapo shuleni tulikuwa tunahesabu namba na ukichelewa magoti yako yatakomaa kama ya mbuzi
Hadi wakati mwingine tena mdau wa nguvu unayetumia muda wako kuleta na kupokea maarifa humu Makapuku na zaidi sana, nakupenda sana
No, mimi ni mzungu, hujaona maneno ya kizungu humo? Au unadhani kiinglishi kinaandikwaje?

Umeelewa lakini "kimombo" cha Kolomije hicho? Wewe ni mtani wangu wa wapi? Nilikuwa na bidii sana ya kujifunza lugha na tamaduni za watu kila nilikoenda shule (kasoro Kizaramo nilipokuja kusoma Dar) hivyo usishangae hata lugha yako nikawa naimanya kidogo. I wish ningekuwa najua Kisambaa kidogo nimwongeleshe "dadako" kwa Kisambaa...Nalimhola nkoyi!Basi wewe mtani wangu hamna neno.... Hofu yangu kupitia mgongo wangu usiwakwaze wengine bagheshi..... Ulihaya kinehe



Haya ni maua au mishumaa?
nimecheka kwa sauti jamaan binamu hivi una nini lakiniMishumaa hiyoHaya ni maua au mishumaa?
Ndo nilitaka nishangaeeAnko, mimi na wewe tunatunziana Siri, sijamwambia