Na pia tunazidi kujikataa uhalisia wetuInaumiza ndiyo but we are still doing the same. Huoni mawigi, mikorogo na upuuzi mwingine wa kuabudu kila kitu cha mzungu? Bado wanatudhalilisha tu japo sasa tunajidhalilisha wenyewe. Nothing has changed!
Asante mkuuLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Good afternoonMorning Katibu wa Kapuku's
Bila shaka 97nl ndio ziliondolewa kwenye mzunguko hivyo hao wa miaka hiyo sijui labda kwa picha tuhivi watu waliozaliwa 90s walizitumia hizi hela?
Bila shaka 97nl ndio ziliondolewa kwenye mzunguko hivyo hao wa miaka hiyo sijui labda kwa picha tuhivi watu waliozaliwa 90s walizitumia hizi hela?
una point ya msingi broh lakini kuna baadhi ya mambo atuwezi kufanya mpaka msaada wa hawa jamaa,Inaumiza ndiyo but we are still doing the same. Huoni mawigi, mikorogo na upuuzi mwingine wa kuabudu kila kitu cha mzungu? Bado wanatudhalilisha tu japo sasa tunajidhalilisha wenyewe. Nothing has changed!
OkMsizidishe basi haya mambo ya kipenzi rafiki! You are men dammit!
Kipindi kile nalipia baiskel yangu phoenix ushuruKutoka Maktaba, unakumbuka wapi?
View attachment 522689View attachment 522690View attachment 522691View attachment 522693View attachment 522694
AiiseeehWaambie maaana huu upenz huo mhuu
nimekupata mdau.. watoto wa 97 walianza kutumia mishilingi ile.. sh. 5 hadi sh. 20 alafu nazo zikakatikaBila shaka 97nl ndio ziliondolewa kwenye mzunguko hivyo hao wa miaka hiyo sijui labda kwa picha tu
nzuri tu mkuuhabari zenu wakuu
hatimae timu ya magazati walau wamejitahidi tusubirie mwakani ktk ile senior teamFIFA WORLD CUP U20 FINAL
Venezuela walikosa penati dakika ya 77
Vijana wakisheherekea ubingwa wao
Furaha ya ushindi
Vijana kutoka Academy ya Everton FC
SOLANKE NDIYE MFUNGAJI BORA
Mshindi wa Golden boot Solanke
pamojanzuri tu mkuu